Wednesday, August 10, 2016

GIGY MONEY ATAJA LIST YA WANAUME ALIOTEMBEA NAO.

                                        

Mwanadada machachali town Gigy Money a.k.a Gigy mapesa afunguka katika kipindi cha Take one kinachooneshwa kila siku ya jumatano Clouds TV kuwa ametembea na wasanii maarufu hapa bongo tangu kipindi yupo kidato cha tatu. Wasanii aliowataja Gigy ni pamoja na Alikiba, Abdukiba, Hemed PHD, Rich Mavoko na Casto Dickson.

KENDALL JENNER NA A$AP ROCKY WAWEKA MAHUSIANO YAO HADHARANI.

                                

Mwanadada maarufu Kendall kupitia reality show ya keeping up with the kardashian's hivi karibuni ameonekana kuwa karibu sana na rapper A$AP. Kendall ni mwanadada aliyepitia mahusiano mengi ambapo mwezi uliopita ilisemekana alikuwa na mahusiano na mcheza kikapu maarufu wa NBA Jordan Clarkson wiki mbili badae akaanza kutoka na rapper A$AP. Wiki hii wameonekana kuwa pamoja sehemu nyingi hadi wakahudhuria pamoja siku ya kuzaliwa ya Kylie Jenner ambaye alikuwa anatimiza miaka 19 huko The nice guy mji wa Los Angeles ambapo walionekana kuwa pamoja sana.