Wednesday, August 10, 2016

GIGY MONEY ATAJA LIST YA WANAUME ALIOTEMBEA NAO.

                                        

Mwanadada machachali town Gigy Money a.k.a Gigy mapesa afunguka katika kipindi cha Take one kinachooneshwa kila siku ya jumatano Clouds TV kuwa ametembea na wasanii maarufu hapa bongo tangu kipindi yupo kidato cha tatu. Wasanii aliowataja Gigy ni pamoja na Alikiba, Abdukiba, Hemed PHD, Rich Mavoko na Casto Dickson.

No comments: