MPIGIE KURA JIHAN KWENYE MASHINDANO YA MISS UNIVERSE.
"VOTE! VOTE! VOTE!!The door is open sasa tunaweza kumpigia kura mrembo wetu @jihandimack Kwakutumia Applications tulizopakua na kama bado hujapakua basi waweza pakua sasa na umpigie kura @jihandimack kutoka Tanzania.
Jinsi ya kumpigia kura Jihan katika mashindano ya Miss Universe kuanzia tarehe 23 January 2017:
1) VODI: Pakua Vodi app katika Google Store au Apple Store 2) Kupitia tovuti ya www.missuniverse.com 3) MISS U APP: Pakua Miss U app 4) TWITTER: Tweet kwa kutumia hashtag #MissUniverse alafu utatumia hashtag maalum ya Jihan itakayotolewa muda si mrefu.
Upigaji kura utakapoanza kila mtu ataweza kupiga kura mara 10 kwa siku kwa kila akaunti aliyoisajili.
Kumbuka kuwa website ya missuniverse.com ni mtandao pekee ambapo upigaji kura utaendeshwa
No comments:
Post a Comment