CHRIS BROWN AMTETEA MALIA OBAMA.
Christopher Maurice a.k.a Chris Brown amtetea mtoto wa kwanza wa Raisi wa Marekani Malia Obama baada ya picha zake kusambaa mitandaoni akionekana akivuta bangi katika tamasha kubwa huko Lollopalooza. Chris alicomment kwenye account moja maarufu Instagram inayovuma kwa jina la #theshaderoom
No comments:
Post a Comment