Friday, August 12, 2016

BONGO STAR SEARCH KUANZA HIVI KARIBUNI.


Week hii Madam Ritha amepost instagram post ambayo ameelezea ujio wa msimu mpya wa Bongo star search. Watu wengi wanafikiri bongo star search haitokuwepo mwaka huu kama miaka iliyopita, lakini Ms.Paulsen amerithibitisha hilo ingawa BSS imechelewa mwaka huu.




No comments: