Saturday, August 13, 2016
DIAMOND AZIDI KUNG'ARA.
Mwanamziki Diamond Platnumz anayetamba kwa sasa na wimbo wa kidogo aliowashirikisha mapacha wawili Psquare kuingia kwenye playlist ya kituo cha redio cha BBC Radio 1xtra, kitu ambacho hakuna msanii wa bongo aliyefika huko.
Ijumaa hii, August 12 kituo hicho kilitoa playlist za wiki nzima, kidogo ikiwemo ya Diamond. Kidogo itakuwa kwenye playlist ya nyimbo zitakazokuwa zinachezwa wiki nzima kwenye 1xtra.
Ni wasanii wachache sana waliowahi kufika huko barani Afrika. Miongoni mwao ni Wizkid, AKA, D'banj huku hakuna msanii kutoka Tanzania aliyewahi kufika huko zaidi ya Diamond kuvunja rekodi na kufika huko.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment