Thursday, August 11, 2016

NUH MZIWANDA ADAIWA KUPORA DEMU.


Mkali wa bongofleva Nuh Mziwanda anayetamba na wimbo wa Jike Shupa aliyomshirikisha msanii mkongwe Alikiba inasemekana ameiba demu wa msanii mwenzake wa bongofleva anayejulikana kwa jina la Vale Wel. Vale ameshangaa na kupigwa na butwaa kuona Nuh akimtangaza kama Nawali ni demu wake wakati anafahamu kuwa Nawali anatoka na Vale.
"mwanzoni nilijua labda ni mambo ya kiki, kwa sababu nijuavyo mimi Nuh hana malengo mazuri na Nawali" Alisema Vale.
kwa sasa Vale analalamika tu kuhusiana na kuporwa Nawali wake na Nuh Mziwanda.


No comments: