Muongozaji wa video anayefanya vizuri hapa Bongo kutoka Kwetu Studio director Msafiri Shabani, amefafanua jinsi ya tetesi zilizoenea juu ya kusaini mkataba na kampuni ya Wanene na kuchukua nafasi ya Hanscana.
Msafiri alisema
yeye ana kampuni hawezi kufanya kazi na kampuni ya Wanene, alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.
"Hizo ni tetesi tu, sijawahi fanya kazi na Wanene, na sitokuja kufanya kazi na Wanene kwa sababu nina kampuni yangu". Alisema director huyo.
Msafiri ni mmoja kati ya waongozaji wenye uwezo mkubwa hapa Bongo.

No comments:
Post a Comment