Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia, wazee na watoto ametoa tamko hilo leo kupitia Leo tena ya Clouds Fm.
Mhe. Ummy aligusia kuhusu swala la kushughulikiwa kwa haraka kesi za ubakaji na ulawiti.
"Tutapeleka muswada wa sheria bungeni wa kutaka dhamana zote zifungwe kwa watu wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji wakae ndani kama ni mwaka au miaka 2 atakuja kujieleza badae kama tumemaliza ushahidi". Ummy.

No comments:
Post a Comment