MTV BASE SA wameitaja list ya ma-Mc 10 bora wa HipHop Tanzania kwa mwaka 2016, na list hii kwa mujibu wa MTVBaseSA imepangwa kwa kutumia vigezo sita muhimu ambavyo ni..
- Mapokeo na Matokeo ya nyimbo zao
- Mtindo wa kuflow
- Uandishi wa Mistari
- Mauzo kwenye Muziki na Shows
- Kujiamini
- Kutobabaika wakati wa kuchana
1Fid Q
2John Makini
3AY
4Mwana FA
5ROMA
6Mr. Blue
7Nikki Wa Pili
8G Nako
9Prof Jay
10Chindo Man
No comments:
Post a Comment