Mwimbaji wa bendi kutoka Akudo Impact, Taasisi Masela ambae kwasasa yupo katika maandalizi ya kutoa single zake ikiwemo matarajio ya kuwepo kwa collabo yake na msanii wa Nigeria Davido.
Kuhusu collabo yangu na Davido ndiyo ipo tulikutana congo wakati nilipoenda kusheherekea miaka 30 yangu na bahati nzuri Davido nilishawahi kusafiri nae kwenye ndege moja basi tukabadilisha mawasiliano yeye alikuwa akielekea London mimi naelekea Dubai
‘Kwahiyo basi mazungumzo yetu yalikuwa na marefu sana nikazungumza nae kuhusu collabo yangu na yeye akanimbia kwa kipindi hiki yuko busy sana tukapanga kuanzia mwakani itabidi niende Nigeria kukamilisha collabo hiyo’
No comments:
Post a Comment