Monday, September 5, 2016

WAYNE ROONEY: MCHEZAJI ALIYEICHEZEA ENGLAND MECHI NYINGI.

Wayne Rooney

Wayne Rooney ameandika historia ya kuwa mchezaji aliyeichezea timu ya taifa ya England  mara nyingi zaidi, kwa wachezaji ndani ya uwanja.

Ulikuwa mchezo wake wa 116 kuiwakilisha England alipocheza na Slovakia katika michuano ya kufuzu Kombe la dunia la 2008.

Rekodi hii inaipita ya David Beckham ambaye aliichezea timu ya taifa ya England mechi 115.

Mlinda mlango Peter Shilton ndiye anaishika rekodi ya jumla kwa kuichezea England mara 125.


No comments: