Wednesday, November 9, 2016

SIMBA CHALI, WALA KICHAPO CHA 2-1 NA TANZANIA PRISON.

Image result for simba sports club

Timu ya Simba imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kwa kunyukwa na Maafande wa Tanzania Prisons goli mbili kwa moja.

Hiki kinakua kipigo cha pili mfululizo kwa timu ya soka ya Simba.

No comments: