| TRUMP NA KANYE WEST. Kanye West hatatumbuiza wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump, waandalizi wa sherehe hiyo wamesema. Kumekuwa na uvumi kwamba tangu nyota huyo wa muziki alipowaambia watu kwamba angempigia Bw Trump kura iwapo angeshiriki uchaguzi, na kisha wakakutana Trump Tower, basi angekuwa mmoja wa wasanii ambao wangetumbuiza Ijumaa. Lakini Tom Barrack, mwenyekiti wa kamati andalizi ya sherehe ya kuapishwa kwa rais, alisema kwamba sherehe hiyo si "ukumbi ufaao" kwa West. Alisema mwanamuziki huyo wa mtindo wa rap ni "jamaa mzuri" lakini "hatujamuomba atumbuize." Bw Barrack alisema: "Yeye hujichukulia kama rafiki wa rais mteule, lakini huu sio ukumbi wake. "Ukumbi ambao tunao, upande wa watumbuizaji, umejaa, uko sawa, utakuwa kimsingi wa nyimbo za kitamaduni za Marekani, na Kanye ni jamaa mzuri lakini hatujamuomba atumbuize. Tunaendelea na ajenda yetu." |
Friday, January 20, 2017
KANYE WEST NI RAFIKI TU WA TRUMP LAKINI HATOTUMBUIZA KATIKA KUAPISHWA KWA RAIS HUYO.
Thursday, January 19, 2017
JENNIFER LOPEZ HAZEEKI BADO ANAONEKANA KIJANA.
Mwanamziki mkongwe na wa siku nyingi J.LO bado anaonekana kijana wakati yupo kwenye miaka ya 40 na kitu huko.
Tazama pichaa yake alivyotupia siku ya jana katika PEOPLE'S CHOICE AWARDS.
NAY WA MITEGO AWATAJA MARAPA 5 ANAOWAKUBALI BONGO.
Nay wa Mitego alikuwa katika kituo cha televisheni cha EAST AFRICA TV katika kipindi cha Planet Bongo na kufunguka marapa 5 anaowakubali hapa bongo:
1. SUGU.

2. FID Q.

3. MR. BLUE.

4. MWANA FA.

5. NAY WA MITEGO MWENYEWE.
1. SUGU.

2. FID Q.
3. MR. BLUE.
4. MWANA FA.
5. NAY WA MITEGO MWENYEWE.
WASHINDI WA TUZO ZA PEOPLE'S CHOICE AWARDS 2017.
Jana usiku kulitolewa tuzo za People's Choice Awards, wafuatao ni washindi wa Tuzo hizo:
Favorite Animated Movie Voice: Ellen DeGeneres, Finding Dory
Favorite Daytime TV Host: Ellen DeGeneres
Favorite Comedic TV Actor: Jim Parsons
Favorite Dramatic TV Actor: Justin Chambers
Favorite Breakout Artist: Niall Horan
Favorite Cable TV Drama: Bates Motel
Favorite Cable TV Actor: Freddie Highmore
Favorite Cable TV Actress: Vera Fermiga
Favorite Sci-Fi/Fantasy Actor: Sam Heughan
Favorite Sci-Fi/Fantasy Actress: Caitriona Balfe
Favorite Late Night Talk Show Host: Jimmy Fallon
Favorite Female Artist: Britney Spears
Favorite Female Country Artist: Carrie Underwood
Favorite Country Group: Little Big Town
Favorite R&B Artist: Rihanna
Favorite Pop Artist: Britney Spears
Favorite Social Media Celebrity: Britney Spears
Favorite Animated TV Show: The Simpsons
Favorite Daytime TV Hosting Team: Good Morning America
Favorite Premium Sci-Fi/Fantasy Show: Outlander
Favorite Network Sci-Fi/Fantasy Show: Supernatural
Favorite Cable Sci-Fi/Fantasy Show: The Walking Dead
Favorite Comedic Collaboration: Britney Spears and Ellen DeGeneres' Mall Mischief
Favorite Social Media Star: Cameron Dallas
Favorite Premium Drama Series: Orange Is the New Black
Favorite TV Crime Drama Actor: Mark Harmon
Favorite TV Crime Drama: Criminal Minds
Favorite Network TV Drama: Grey's Anatomy
Favorite YouTube Star: Lilly Singh
Favorite Premium Comedy Series: Fuller House
Favorite Dramatic Movie Actor: Tom Hanks
Favorite Male Country Artist: Blake Shelton
Favorite Album: Blake Shelton, If I'm Honest
Favorite Dramatic Movie Actress: Blake Lively
Favorite Premium Series Actor: Dwayne "The Rock" Johnson
Favorite Male Artist: Justin Timberlake
Favorite Song: Justin Timberlake, "Can't Stop the Feeling"
Favorite Comedic Movie Actor: Kevin Hart
Favorite TV Crime Drama Actress: Jennifer Lopez
Favorite Humanitarian: Tyler Perry
Favorite Comedic Movie: Bad Moms
Favorite Movie: Finding Dory
Favorite Network TV Comedy: The Big Bang Theory
Favorite Comedy TV Actress: Sofia Vergara
Favorite Thriller Movie: The Girl on the Train
Favorite TV Show: Outlander
Favorite New TV Comedy: Man With a Plan
Favorite New TV Drama: This Is Us
Favorite Group: Fifth Harmony
Favorite Action Movie Actor: Robert Downey Jr.
Favorite Actor in a New TV Series: Matt LeBlanc
Favorite Actress in a New TV Series: Kristen Bell
Favorite Competition TV Show: The Voice
Favorite Hip-Hop Artist: G-Easy
Favorite Dramatic TV Actress: Priyanka Chopra
Favorite Premium Series Actress: Sarah Jessica Parker
Favorite Comedic Movie Actress: Melissa McCarthy
Favorite Cable TV Comedy: Baby Daddy
Favorite Movie Icon: Johnny Depp
Favorite Movie Actor: Ryan Reynolds
Favorite Movie Actress: Jennifer Lawrence
Favorite Action Movie: Deadpool
Favorite Action Movie Actress: Margot Robbie
Favorite Dramatic Movie: Me Before You
Wednesday, January 18, 2017
NAY WA MITEGO: SIJAWAHI KUSIKIA WIMBO MBAYA KULIKO NYIMBO MBAYA NILIZOSIKIA MWAKA HUU KAMA HII.
Siku ya jana Madee (rais wa manzese) na Roma Mkatoriki walitambulisha nyimbo zao kwenye vyombo vya habari na baadae Nay wa mitego alipost huo ujumbe hapo juu kwenye akaunti yake ya instagram bila kumtaja msanii yoyote.
Lakini mashabiki walikomenti kuwa alikuwa anamrenga Madee kuwa ndiye aliyetoa nyimbo mbaya na sio Roma.
Kwenye mahujiano na kituo cha radio hapa nchini Nay slipopigiwa simu alikataa kuwa hajamrenga Madee ila watu ndio wanasema na sio yeye.
Madee naye alipoulizwa alisema kuwa ameona lakini hawezi kusema kitu kwa sababu hakumtaja mwanamziki huyo au wimbo huo.
Unadhani alichofanya Nay ni sahihi hata kama alikuwa hamrengi Madee? Drop comment yako hapa.
Lakini mashabiki walikomenti kuwa alikuwa anamrenga Madee kuwa ndiye aliyetoa nyimbo mbaya na sio Roma.
Kwenye mahujiano na kituo cha radio hapa nchini Nay slipopigiwa simu alikataa kuwa hajamrenga Madee ila watu ndio wanasema na sio yeye.
Madee naye alipoulizwa alisema kuwa ameona lakini hawezi kusema kitu kwa sababu hakumtaja mwanamziki huyo au wimbo huo.
Unadhani alichofanya Nay ni sahihi hata kama alikuwa hamrengi Madee? Drop comment yako hapa.
MWANA FA: BILNASS HAKUNIOMBA COLLABO NILIMFANYIA SURPRISE.
Mwana FA amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds Fm wakati wanatambulisha nyimbo mpya aliyoshirikishwa na Bilnass unaoitwa MAZOEA.
Mwana FA alisema ''sikuombwa collabo na Bilnass lakini niliusikiliza wimbo na kwenda kuingiza vocal bila yeye kujua kwa sababu tulikuwa na mipango ya kufanya kolabo, kwahiyo ilikuwa ni surprise kwake kwa sababu mimi na yeye ni marafiki''.
Nenda kwenye link ya Bilnass kusikiliza nyimbo hiyo.
RIDHIWANI: SIHUSIKI NA KUSIMAMIA KAZI ZA BELLE 9.
Kufuatia uvumi ulioko Kitaa kwamba Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh Ridhiwani Kikwete anahusika kumsimamia kazi za Msanii BELLE 9.
Leo kwenye XXL255 ya CLOUDS FM Mh Ridhiwani amefunguka na kusema hivi; Hakuna ukweli wowote mimi kuhusika na kusimamia kazi za Belle 9 nilivutiwa na kazi zake tu.
Subscribe to:
Posts (Atom)