Usiku wa jumanne, 16 august Drake alikuwa anaendelea na ziara yake ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Joe Louis Arena mjini Detroit.
Drake alishindwa kujizuia
na kumkaribisha mwenyeji wa mji huo rapper Eminem katika steji na kutumbuiza wimbo walioshirikiana mwaka 2009, Forever.
Rapper Drake aliwaambia mashabiki zake wampigie kelele za nguvu mkongwe huyo Eminem. Ndipo Eminem aliongezea na kusema ni heshima kubwa kuwa katika jukwaa moja na mtu mkubwa Drake.
Wasanii hao ambao wanasadikika kuwa na bifu, tofauti zao ziliisha hapo na watu kusahau. Drake alitaka dunia ijue kwamba hana tatizo na Eminem.

No comments:
Post a Comment