ONYESHO LA PICHA MWAKA HUU MJINI LAGOS, NIGERIA LIMEWALETA PAMOJA WAPIGA PICHA WA AFRIKA KUANGAZIA UZURI WA AFRIKA.
Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionKeyezua ameangazia mitindo ya nchi yake Angola maarufu kama "Royal Generation" kwenye picha hii ambapo mwanamke mwenye mavazi yaliyoshonwa kitamaduni .Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionMpiga picha wa Ghana Eric Gyamfi ametoa taswira ya jinsia ya kiume Afrika ikilinganishwa na dini na utamaduniImage copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionMpiga picha wa Nigeria Lakin Ogunbanwo amejumulisha utamaduni na kisasa katika mavazi.Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionTsouku Maela mpiga picha wa Afrika Kusini anaonyesha mapenzi halisi hayangazii kasoro , lakini kusahihisha.Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionMpiga Picha wa Kenya Osborne Macharia anaangazia taswira ya bi kizee mwenye raha maarufu kama NyanyeImage copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionIshola Akpo kutoka Benin ana picha ya bibi yake inayoangazia umuhimu wa mahari katika utawaduni wa Afrika.Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionPicha hii inajulikana kama Gensis yake mpiga picha wa Zimbabwe Kudzanai Chiurai, Anaangazia mazingira ya ukoloni nchini humo.Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionPicha yake Adad Hannah inaonyesha mabaki ya Medusa, hii ni meli ya wakoloni iliozama mwambao wa Senegal miaka 200 iliyopita.Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionPicha ya uhalisia wa maisha yake Patrick Willocq, aliwahi kuishi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Anaonyesha maisha ya watoto wakimbizi .Image copyrightLAGOS PHOTO FESTIVALImage captionMpiga picha wa Msumbiji Mario Macilau anaangazia hatari ya kutupa ovyo vifaa vya elektroniki .
No comments:
Post a Comment