Sunday, August 14, 2016
ALIKIBA NA YEMI ALADE KUTUMBUIZA KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA UGANDA.
Mtandao wa Uganda BigEye umeripoti kuwa, Yemi na Alikiba watatumbuiza kwa mara ya kwanza katika tuzo za Uganda, na wanatarajia kuwasili nchini Kenya Jumatano ya wiki ijayo.
Watatumbuiza huku kukiwa na wageni wa kimataifa kama mchezaji wa zamani wa Liverpool Robbie Fowler na msanii wa Malawi Jaygrin.. Pia wasanii kutoka Kenya watatumbuiza wakiwemo wakongwe katika regge Madox Sematimba na Ziza Bafana.
Tunzo 47 zitztolewa siku hiyo zikiwemo tunzo tatu za heshima ambazo ni Lifetime Achievement Award, Humanitrian Award (Angella Katatumba) na UEA Noble Award (Pr Robert Kayanja).
Tunzo zitztolewa siku ya ijumaa tarehe 19 katika hotel ya Kampala Serena, tiketi zinapatikana kwa bei tofauti kama ifuatavyo;
50K tiketi za kawaida
100K VIP
3milioni kwa meza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment