Kevin Hart afunga mkataba wa kuwa mpweke na kufunga ndoa Jumamosi hii huko Oprahland.
Kevin na Eniko wameapa mbele ya mashahidi kuwa watakuwa pamoja kwenye shida na raha huko Montecito, CA kilomita chache kutoka kusini mwa Santa Barbara.
Kev na Eniko walivalishana pete ya uchumba miaka miwili iliyopita lakini inawezekana kuchelewa kwao kufunga ndoa imetokana na wawili hao kuwa na kazi nyingi na kukosa muda.
watu 200 waliohudhuria wameshuhudia motto wa kiume wa Kevin mwenye miaka 8 kuwa msimamizi wa baba yake (best man).
Wasanii wengi walihudhuria ndoa hiyo akiwemo Ludacris.
No comments:
Post a Comment