Mwanamziki wa kimarekani Beyoncé atembea bila viatu baada ya kutoka kupata chakula cha jioni na mume wake Jay Z nchini Italy. Beyoncé yupo kwenye tour ya album yake ya Lemonade, alionekana akiwa hana viatu huku mashabiki wakiwa wamemzunguka.
Inasemekana Beyoncé ana mimba kwa sababu ya tumbo lake lililokuwa limejitokeza na kuonekana kubwa, huku akilificha na mfuko aliobebe.
Alikuwa akiwapungia mkono mashabiki zake huku akiwa amefunika tumbo lake kwa mfuko aliobeba. |
No comments:
Post a Comment