Baada ya mashabiki wengi wa Justin (beliebers) ku-comment kwamba Sofia ajiue kwasababu Bieber ni wao na sio wakwake. Justin aliandika instagram;
"nitaweka akaunti yangu private kama hamtoacha chuki, kama kweli ni mashabiki zangu msingefanya vitu vya ajabu kwa watu ninaowapenda".Mashabiki wengi wa Bieber wamejisikia vibaya kuona anamtetea sana Sofia na wengi wameumia na kuchukua uamuzi wa kuporomosha comment za matusi huku wakimsema Bieber kwa kitendo cha kumjali Sofia wakati mashabiki zake wanaumia.
Matokeo yake hash tag ya #RIPBeliebers imetawala twitter. Beliebers ni kundi kubwa la mashabiki wa Bieber. Lakini mpaka sasa Bieber hajaiweka akaunti yake private.
No comments:
Post a Comment