Shilole anasema anafuraha na yuko kwenye mapenzi na mwanaume Hamadai na wala sio mpenzi wa mtu.
Keeping up with Diva whatsapp leo paliwaka moto, mapovu yakawatoka watu wengi kutaka kujua nini kinaendelea kati yao, kwasababu picha za Shilole akiwa kwenye pozi la kimahaba na Hamadai zilikuwa zinasambaa instagram.
Mapovu yalikuwa yanawatoka watu kwasababu inasemekana Hamadai ana mpenzi wake. Lakini Keeping up with Diva iliamua kuwapigia hao wahusika kwa kuweka conference call ili kila mtu akifunguka mwenzie asikie.
Hatimaye Hamadai alikiri kuwa yeye na Zahra (mpenzi wake wa zamani) walishaachana siku nyingi kwa sasa yupo na Shilole.
No comments:
Post a Comment