Tuesday, August 16, 2016

ALIYEKUWA MPENZI WA ZAMANI WA JUSTINE BIEBER, MWANADADA SELENA GOMEZ AFUNGUKA.

Weekend iliyopita Bieber alituma picha akiwa pamoja na mtoto wa Lionel Richie, binti mwenye miaka 17 Sophia Richie akitishia kuifungia akaunti yake ya instagram kama mashabiki (beliebers) wakiendelea kumshambulia.

Sasa leo Selena alituma kwenye akaunti yake na kuandika;

"kama huwezi kuvumilia chuki za mashabiki wako acha kuendelea kutuma picha za mpenzi wako- inatakiwa mambo yenu yawe kati yenu wawili tu".

Akamalizia kwa kumshauri Bieber                       " usiwachukie mashabaki zako. Wanakupenda".

Selena akafuta hiyo post yake baada ya kuona italeta utata na matatizo katika mitandao ya kijamii.


No comments: