Ikiwa in mwezi tu umepita tangu mwanadada Katy Perry kuzindua lipstick zake. Sasa mwanamziki huyo amekuja na viatu vya aina tatu: Raba, Michuchumio (heels) na Viatu vya chini (sandals).
Bei ya viatu hivyo kuanzia dola za kimarekani 59 mpaka 299 na vimetengenezwa kwa malighafi za lucite na vinyl.
Katy Perry pia ana bidhaa zake za perfume zinazoitwa Purry, Meow, Killer queen, Royal revolution, Mad potion na mad love.
No comments:
Post a Comment