Tuesday, August 16, 2016

JOKATE AKATAA KUTOKEA KWENYE VIDEO YA Q-CHIEF.

Q- Chief ashindwa kumlipa Jokate kiasi anachotaka ili atokee kwenye video yake.

Kijana huyo amedai kuwa amemtaja jojo kwenye nyimbo yake hiyo, hivyo ingeleta maana zaidi kama angeonekana pia kwenye kichupa, lakini akawa "very expensive".

Jana kwnye E-news, Q-chief alisema Jokate ni classmate wake hivyo alidhani ingekuwa rahisi kwa yeye kumregezea bei, lakini jojo yeye yupo kibiashara zaidi.

Muimbaji huyo anayejiita "Mungu wa bongo flava" amedai anaheshimu uamuzi wa kidoti na akasema kidoti ni mtoto mzuri.

Hivi karibuni Q-chief alishoot video na director Justin Campos na amedai kuwa itawashangaza watu wengi.

No comments: