Katika list ya tuzo kubwa zinazotolewa kwa wanamuziki duniani huwezi kuacha kutaja American Music Awards ambazo hutolewa kila mwaka kwa mastaa wakubwa wa muziki Marekani, tukio hilo ambalo lipo kwenye maandalizi sasa hivi na tuzo hizo kutolewa usiku wa Nov 20 2016 ambazo zitaonyeshwa live kwenye kituo cha ABC.
Na tayari list imetoka ya wasanii wa marekani watakaotoa burudani kwenye jukwaa la usiku wa tuzo hizo za AMAs 2016 ambapo watakuwepo wasanii hawa…
LADY GAGA |
BRUNO MARS |
TWENTY ONE PILOTS |
JOHN LEGEND |
ARIANA GRANDE & NICK MINAJ |
SHAWN MENDEZ |
JAMES BAY |
FIFTH HARMONY |
GREEN DAY |
CHAINSMOKERS & HALSEY |
THE WEEKEND. |
No comments:
Post a Comment